HABARI MAHUSUSI

Lowassa, Rostam waumbuana

Na Saed Kubenea 05 May 2009

Edward Lowassa

SIRI imefichuka. Vigogo waliojaribu kuiba ripoti ya Kamati Teule ya Bunge kuhusu kashfa ya Richmond kabla ya kuwasilishwa bungeni, waliiba “kanyaboya,” MwanaHALISI limegundua.

 
Machinga Complex
Na Ahmad Abdullah 05 May 2009

ANGALIA majengo ya "machinga" jijini Dar es Salaam. Yanameremeta. Hakika yanapendeza. Yameongeza uzuri wa mandhari na kuvutia zaidi. Kuwepo kwake hakika kumejenga taswira mpya ya eneo hili la Uwanja wa Karume.

 
Waathirika Mbagala
Na Stanislaus Kirobo 05 May 2009

AJALI kwenye kambi ya Jeshi (JWTZ) ya Mbagala jijini Dar es Salaam, iliyohusisha mlipuko wa mabomu wiki iliyopita, isingeleta maafa makubwa iwapo serikali ingekuwa imechukua tahadhari mapema.

 
Rostam Aziz
Na Saed Kubenea 05 May 2009

UKUMBI ulijaa waandishi wa habari, chipukizi na wakongwe. Ni katika mkutano wa Rostam Aziz, mbunge wa Igunga na mfanyabiashara.

 

BADO ni vilio vitupu Mbagala. Siku kadhaa tangu tukio la milipuko ya mabomu kutoka kambi ya Jeshi la Ulinzi – 511 KJ Mbagala Kizuiani – hadi leo watu bado wanalia.

Buriani wakili Moses Maira Mabere Marando [2,208]
'Tunagombea urithi wa taifa letu' M. M. Mwanakijiji [1,795]
Vita dhidi ya ufisadi imekwama Mbasha Asenga [1,240]
Uchumi wa Magharibi haufai Afrika Joseph Mihangwa [1,161]
04/04/2010