HABARI MAHUSUSI

Rostam katika tope jipya

Na Mwandishi Wetu 12 May 2009

Rostam Aziz
Aleta hasara kwa serikali
Akabidhi mahindi hewa

TUHUMA mpya za ufisadi zimeibuka dhidi ya mbunge wa Igunga, Rostam Aziz na kumzamisha katika tope jipya, MwanaHALISI limegundua.

 
Rais mstaafu, Benjamin  Mkapa
Na Mwandishi Wetu 12 May 2009

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amemwanika rais mstaafu, Benjamin Mkapa kwa kuonyesha kuwa alitumia vibaya fedha za mkopo kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).

 
RAIS Jakaya  Kikwete
Na Saed Kubenea 12 May 2009

RAIS Jakaya Kikwete ametupa wanamtandao wake waliomuingiza madarakani miaka minne iliyopita? Hilo ndilo swali ambalo bila shaka wafuatiliaji wa mkondo wa siasa nchini wanajiuliza hivi sasa.

 
William Lukuvi
Na Aristariko Konga 12 May 2009

MKUU mpya wa mkoa wa Dar es Salaam, William Lukuvi amesema ana changamoto 17 za kukabili kuanzia sasa.

 

TANZANIA imeingia doa. Ripoti ya Taasisi ya Freedom House imeiweka katika kundi la nchi zilizoshindwa kutambua uhuru wa vyombo vya habari mwaka 2008.

Bodi ya Mikopo haijali mustakabali wa taifa Godbless Charles [2,000]
Rostam hajajibu hoja, hajajisafisha Lusuvilo Mwakalyelye [1,929]
Serikali ikiri kushindwa Mwandishi Maalum [1,614]
Ubomoaji wodi ya wazazi Kivunge Jabir Idrissa [1,477]
Serikali inapotenda jinai, tufanyeje? Ndimara Tegambwage [1,474]
Mwisho wa mafisadi dhahiri, acha waibue mbinu mpya Mbasha Asenga [1,321]
Kocha Mziray: Tukubali hali, ili iwe changamoto Alfred Lucas [1,522]
04/04/2010