HABARI MAHUSUSI

Kanisa kutikisa 2010

Na Aristariko Konga 19 May 2009

Kadinali Pengo
Lalenga kubadli mwelekeo wa siasa
Labaini kasoro katika utawala

KANISA Katoliki Tanzania limejipanga kuleta mabadiliko makubwa ya kiuongozi nchini, MwanaHALISI limebaini.

 
Blandina Nyoni
Na Saed Kubenea 19 May 2009

KATIBU Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni ametengua uteuzi wa Mwambata wa Afya katika ubalozi wa Tanzania nchini India katika mazingira ya kutatanisha, MwanaHALISI limeelezwa.

 
WAZIRI wa Habari, Utamaduni na Michezo, George Mkuchika
Na Saed Kubenea 19 May 2009

WAZIRI wa Habari, Utamaduni na Michezo, George Mkuchika, amekoromea waandishi wa habari wanaoripoti kuzomewa kwa vigogo wa chama chake.

 
Makamu Mwenyekiti CCM, Pius Msekwa
Na Aristariko Konga 19 May 2009

PIUS Msekwa ameingiwa na wasiwasi. Ameonyesha hofu ya dhahiri kuhusu mwelekeo wa chama chake – Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambacho yeye ni Makamu Mwenyekiti.

 

JUMAPILI hii wananchi katika jimbo la Busanda, Geita, mkoani Mwanza, wanafanya uamuzi. Wanachagua mbunge wao.

Bodi ya Mikopo ikubali kukosolewa Malile Mbarouk [1,982]
Mwinchande na Tume inayofuata sheria Jabir Idrissa [1,728]
Serikali haijaonyesha dhamira Stanislaus Kirobo [1,706]
Busanda: Ishara kutoka Magharibi M. M. Mwanakijiji [1,664]
Nani atasalimika na mafisadi? Mbasha Asenga [1,609]
Maximo, nani kama Kaseja? [1,642]
04/04/2010