HABARI MAHUSUSI

Rostam azimwa

Na Saed Kubenea 23 Jun 2009

Rostam Aziz
Mahakama yamzuia kufilisi gazeti
Kikwete 'amkacha' Afrika Kusini

MBIO za Rostam Aziz za kufilisi  MwanaHALISI zimekwama. Mahakama ya Rufaa imekubali ombi la gazeti la kuzia utekelezaji wa hukumu iliyotolewa na mahakama kuu.

 
Yusuph Makamba
Na Saed Kubenea 23 Jun 2009

NGWE mpya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kueneza uwongo imewadia. Kiongozi mkuu katika hili ni yuleyule, Yusuph Makamba, katibu mkuu wa chama hicho.

 
Mwenyekiti wa CHADEMA,  Freeman Mbowe
Na Alfred Lucas 23 Jun 2009

WILFRED Lwakatare, anahamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), keshokutwa, Ijumaa.

 
Profesa Jumanne Maghembe
Na Mbasha Asenga 23 Jun 2009

KWA miaka mingi sasa nimekuwa napata tabu sana kutambua mtu mwenye sifa inayostahili kuwa Waziri wa Elimu. Nasema wizara ya elimu bila kujali inapewa jina gani kwani kumekuwa na utaratibu wa kubadili majina ya wizara hii mara kwa mara.

 

KATIKA kuhimiza uwajibikaji kazini na utumishi adilifu, serikali imekuwa ikiadhimisha wiki ya utumishi wa umma kila mwaka.

03/04/2010