HABARI MAHUSUSI

Udini wateka bunge

Na Saed Kubenea 07 Jul 2009

KIRUSI kimeanza kulimung’unya Bunge. Ni udini. Baadhi ya wabunge wanalalamika kuwa wanasakamwa kutokana na imani za kidini.

 
Profesa Jumanne Maghembe
Na Mwandishi Wetu 07 Jul 2009

SERIKALI inatayarisha mpango wa kufundisha watoto wengi kupitia mwalimu mmoja kwa kutumia teknolojia ya mawasiliano kwa njia ya kompyuta.

 
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa akinadi saa yake ya mkononi
Na Mbasha Asenga 07 Jul 2009

WATANZANIA tumeamua kuwa taifa la watu wa ovyo! Ni watu wa ovyo hasa. Kutotaka kutenda kwa kufuata sheria wala taratibu katika taifa linalojivuna kwa umaarufu miongoni mwa mataifa yanayoendelea, ni kitu cha ovyo kabisa.

 
WAZIRI Kiongozi wa Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha
Na Jabir Idrissa 07 Jul 2009

WAZIRI Kiongozi wa Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha, ametoa kali. Anasema haoni faida yoyote katika utaratibu wa maswali ya papo kwa papo ndani ya Baraza la Wawakilishi (BLW).

 
Utumishi wa Umma: Tume ya Haki yazoa tuzo Alloyce Komba [2,218]
Tamko la Kikwete bado sumu kwa wafugaji Navaya ole Ndaskoi [1,987]
Msimu wa kulalama, kutuhumu serikali bungeni Saed Kubenea [1,833]
Wabunge na ubadhirifu wa muda Ndimara Tegambwage [1,557]
Danny Mrwanda 'amefulia'? Alfred Lucas [2,170]
03/04/2010