HABARI MAHUSUSI

OIC kumlipukia Membe

Na Saed Kubenea 14 Jul 2009

Waziri wa Mambo ya Nje, Benard Membe
Wabunge waandaliwa kumsulubu

HOJA ya kujiunga na Jumuiya ya Nchi za Kiislamu Duniani (OIC) huenda ikazikwa mjini Dodoma mwishoni mwa wiki, MwanaHALISI limegundua.

 
Profesa Jumanne Maghembe
Na Mwandishi Wetu 14 Jul 2009

HII ni sehemu ya pili ya mahojiano kati ya gazeti hili na Profesa Jumanne Maghembe, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, juu ya "Mabadiliko ya mfumo wa elimu nchini."

 
Profesa Ibrahim Lipumba
Na Salva Rweyemamu 14 Jul 2009

WIKI iliyopita, Mwenyekiti wa muda mrefu wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, alikaririwa na gazeti la MwanaHALISI akisema kuwa Rais Jakaya Kikwete "ameshindwa kazi."

 
Na Ndimara Tegambwage 14 Jul 2009

SERIKALI imekiri udhaifu. Hapana. Imekiri kushindwa kutawala. Sasa inasema itapeleka jeshi wilayani Tarime litawale badala yake.

 

KAMPUNI ya kupakia na kupakua mizigo bandarini Dar es Salaam – Tanzania International Container Terminal Services (TICTS), inalaumiwa kushindwa kazi.

03/04/2010