HABARI MAHUSUSI

Serikali yavunja Katiba

Na Jabir Idrissa 21 Jul 2009

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Amani Abeid Karume

SERIKALI imevunja katiba. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Amani Abeid Karume, amemteua Hamid Mahamoud kuwa jaji mkuu wa Zanzibar baada ya kustaafu kwa hiari na kulipwa mafao yake, imefahamika.

 
Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha
Na Alloyce Komba 21 Jul 2009

KIROJA cha Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha kuhusu "mradi wa vitambulisho vya uraia," kimedhihirisha kuwa hakustahili kuongoza wizara hii.

 
Mbunge wa kuteuliwa, Kingunge Ngombale Mwiru
Na Saed Kubenea 21 Jul 2009

KANISA Katoliki Tanzania linasakamwa. Kisa ni waraka wake wa kichungaji uliosambazwa kwa waumini wake. Tuhuma dhidi ya Kanisa zimeibuliwa na Mbunge wa kuteuliwa, Kingunge Ngombale Mwiru.

 
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba
Na Mohamed Yusuph 21 Jul 2009

MAKALA ya Salva Rweyemamu iliyochapishwa ukurasa wa sita wa gazeti hili, toleo lililopita, imeibua hisia kwa wasomaji wengi.

 

KISWAHILI ni lugha nzuri; ni njia murua ya mawasiliano na sasa inaaminika kuwa ni utamaduni kwa wengi. Ni lugha iliyounganisha mamilioni ya Watanzania na duniani. Kiswahili leo ni kila kitu.

03/04/2010