HABARI MAHUSUSI

Serikali yaingia kashfa mpya

Na Mwandishi Wetu 28 Jul 2009

Waziri kivuli wa wizara ya Nishati na Madini, Mohammed Habib Mnyaa

SERIKALI imeingia katika tope jipya. Imeilipa kampuni ya nje mabilioni ya shilingi kwa kazi ambayo haikufanywa kwa ustadi uliotakiwa.

 
Na Aristariko Konga 28 Jul 2009

KIMYA cha viongozi wakuu wa serikali za Tanzania Bara na Zanzibar kinachangia ufa katika Muungano na kinaweza kusababisha kifo cha umoja huu wa kipekee Afrika.

 
Na Saed Kubenea 28 Jul 2009

RAIS Jakaya Kikwete amejitwisha upya "zigo" ambalo tayari lilishafika ufukweni. Jumamosi iliyopita, Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adam Malima alitangaza uamuzi wa serikali wa "kuwabeba" viongozi wawili waandamizi waliokuwa wanatuhumiwa katika sakata la kampuni ya Richmond Development Company (LLC).

 

HAKIKA sasa serikali mbili za Chama Cha Mapinduzi (CCM), ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zimeshindwa kulea Muungano wa maridhiano.

03/04/2010