HABARI MAHUSUSI

Lowassa, Rostam wazimwa

Na Saed Kubenea 04 Aug 2009

Edward Lowassa
Ni katika sakata la Richmond
Bomu la Dk. Mwakyembe kiporo

TUNDU la kutokea la Edward Lowassa, ili akwee upya kwenye uongozi wa juu nchini, tena kwa kishindo, limezibwa, MwanaHALISI limegundua.

 
Mbunge Halima Mdee
Na Mwandishi Wetu 04 Aug 2009

MwanaHALISI ndilo gazeti pekee ambalo liliandika na kung'ang'ania ufuatiliaji wa madai ya Mbunge Halima Mdee

 
Rais mstaafu, Benjamin Mkapa
Na Mbasha Asenga 04 Aug 2009

KUPAMBANA katika kufunika kashfa za ufisadi au kujaribu kutosa wale ambao waweza kuonekana kondoo wa kafara kumeshamiri kipindi cha utawala wa awamu ya nne.

 
SPIKA wa Bunge, Samwel Sitta
Na Aristariko Konga 04 Aug 2009

SPIKA wa Bunge, Samwel Sitta ameiomba serikali kumwongezea ulinzi. Ni kutokana na vita kali inayooendeshwa na wabaya wake.

 

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda anasema, "haraka haraka nayo haina baraka." Alikuwa akizungumzia suala la serikali kuchukua hatua pale jambo linalohusu jamii nzima linapotokea.

Kificho amefichua fikra pevu Salim Said Salim [2,092]
TAMISEMI yachelewesha kanuni za uchaguzi Alloyce Komba [2,051]
Mafanikio ya Kikwete hayajaonekana David Kafulila [2,034]
Familia yabana polisi Tabora Jabir Idrissa [2,005]
Bunge hai, mijadala moto na vijembe Saed Kubenea [1,622]
Kwa tamasha hili, Simba waa waa... Alfred Lucas [1,808]
03/04/2010