HABARI MAHUSUSI

Kikwete amtelekeza Sitta

Na Mwandishi Maalum 18 Aug 2009

RAIS Jakaya Kikwete
Aruhusu 'mafisadi' kumsulubu
Mpasuko mkubwa CCM waja

RAIS Jakaya Kikwete ameshindwa kulinda hadhi ya Spika wa Bunge la Jamhuri, Samwel Sitta katika vikao vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mjini Dodoma.

 
Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe
Na Alloyce Komba 18 Aug 2009

JULAI 13 na 14 mwaka 2009, Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe aliongoza ujumbe wa Tanzania kwenda Geneva, Uswisi, kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Kijamii na Kisiasa (ICCPR) wa mwaka 1966 katika Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa (UNHRC).

 
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam
Na Mwandishi Wetu 18 Aug 2009

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imeipa serikali mtihani wa kutaka ikamate na kushitaki askari polisi waliohusika hasa na mauaji ya wafanyabiashara watatu wa Mahenge, mkoani Morogoro na mkazi wa Dar es Salaam.

 
SPIKA wa Bunge, Samwel Sitta
Na Saed Kubenea 18 Aug 2009

SPIKA wa Bunge, Samwel Sitta ameshikiwa bango na wapinzani wake wa kisiasa wakishinikiza afukuzwe katika chama kutokana na msimamo wake wa "kujenga Bunge lenye kasi viwango."

 

SERIKALI imetakiwa kukamata wahusika halisi wa mauaji ya wafanyabiashara wa Mahenge na dreva wa teksi ili wafikishwe mahakamani.

FIBUCA kuing'oa TUICO Alfred Lucas [2,832]
Prof. Bayikwa: Mbunge mfuatiliaji [2,142]
TRL: Serikali sasa ichukue hatua Nicoline John [1,884]
CCM kama ilivyo sasa haiwezi kuokoleka M. M. Mwanakijiji [1,702]
Rais Kikwete apata mtetezi John Kibasso [1,657]
Hamza hayawezi madhambi ya SMZ Jabir Idrissa [1,609]
Viongozi wa Z'bar wagumu kujifunza Salim Said Salim [1,564]
Kweli Simba hawana fadhila! Alfred Lucas [1,865]
02/04/2010