HABARI MAHUSUSI

Sakata la nyara za Serikali: Kada wa Kikwete lawamani

Na Mwandishi Wetu 08 Sep 2009

Abdulrahman Kinana

KAMPUNI ya uwakala iliyosafirisha kontena lililokuwa na meno ya tembo ambayo yalikamatwa nchini Vietnam, inamilikiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu (CC) ya CCM, Abdulrahman Kinana, imefahamika.

 
Lazaro Samuel Nyalandu
Na Ndimara Tegambwage 08 Sep 2009

HOJA binafsi ambayo mbunge Lazaro Samuel Nyalandu anataka kuwasilisha bungeni kuziba mijadala inayohusu imani na madhehebu – dini, haina maana.

 
Na Mwandishi Wetu 08 Sep 2009

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Manunuzi ya Umma (PPRA), Dk. Ramadhan Mlingwa amesema mamlaka yake haifahamu lolote kuhusu mchakato wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kumpata mbia.

 
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) Jaji Lewis Makame
Na Mbasha Asenga 08 Sep 2009

UJASIRI unaozidi kuonyeshwa na kundi la wabunge wanaoitwa ‘kimbelembele’ wa vita dhidi ya ufisadi ni jambo linalostahili pongezi.

 
TAHARIRI: TRL sasa basi

KAMPUNI ya Reli Tanzania (TRL) imeshindwa kazi. Haina tena uwezo wa kutoa huduma wala kulipa mishahara watumishi wake.

02/04/2010