HABARI MAHUSUSI

Kagoda yamwakia Kikwete

Na Saed Kubenea 15 Sep 2009

Rais Jakaya Kikwete
Wahisani washinikiza ukaguzi
Misaada ya wafadhili yakatwa

SERIKALI imesalimu amri. Imerudisha nchini maodita wa Deloitte & Touche kutoka Afrika Kusini kufanya tena ukaguzi ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), MwanaHALISI limegundua.

 
Steven Kanumba
Na Elijah Kitosi 15 Sep 2009

MENGI yamesemwa kuhusu kilichotokea ndani ya onyesho la 'Big Brother Africa Revolution' na hasa mwaliko aliopata wa mwigizaji kutoka Tanzania, Steven Kanumba 'The Great'.

 
Andrew Chenge
Na Mbasha Asenga 15 Sep 2009

DUNIA ina mambo. Kuna siku moja rafiki yangu wa karibu sana alinisimulia kisa cha kuchekesha na kushangaza. Hiki hakikuwa kingine isipokuwa kilihusu ugomvi wa mwanasiasa maarufu nchini, Andrew Chenge na mwandishi wa habari mwandamizi, jina ninahifadhi, kilichotokea katika klabu moja jijini Dar es Salaam miaka ya hivi karibuni.

 
Shamsa Mwangunga, Waziri wa Maliasili na Utalii
Na Ndimara Tegambwage 15 Sep 2009

MIONGONI mwa mawaziri wanaojua kupiga porojo, ni Shamsa Mwangunga, Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye Jumatatu, aliongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

 

SERIKALI imekaribisha Mpango wa Kutathmini Utawala Bora (APRM), ingawa inasema imefanya hivyo kwa ujasiri mkubwa kwa kuwa mpango huo unaambatana na kuibuliwa kwa udhaifu wa utawala katika nchi.

31/03/2010