HABARI MAHUSUSI

Sakata la Posho mbili: Hakuna atakayepona

Na Saed Kubenea 04 Nov 2009

Mbunge wa Handeni, Dk.  Abdallah Kigoda
Wapo waliochota hadi pensheni mbili kwa mkupuo
Ni Kigoda, Ngwilizi, Mapuri na Mbatia

SAKATA la posho mbili kwa wabunge linatishia kumlipua hata Rais Jakaya Kikwete na viongozi kadhaa ndani ya Chama Cha Mapinduzi na serikali.

 
"Dokta" Emmanuel Nchimbi
Na Mwandishi Wetu 04 Nov 2009

MAWAZIRI wawili wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete, miongoni mwa sita waliotajwa kujipa wasifu wa elimu wasiyokuwa nayo, wameanza kutekeleza mkakati wa kujisafisha.

 
EDWARD Lowassa
Na M. M. Mwanakijiji 04 Nov 2009

EDWARD Lowassa, aliyekuwa waziri mkuu, hakuonewa na mtu yeyote kabla ya kujiuzulu kama ambavyo amekuwa akidai. Hakika  alitakiwa kujiuzulu hata kabla ya Kamati Teule kuundwa.

 
Edward  Hoseah
Na Mbasha Asenga 04 Nov 2009

NCHI ina shida. Hatua ya Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), Edward Hoseah, kuitisha mkutano na waandishi wa habari kisha kuzungumzia kile ambacho kila siku taasisi hiyo imekataa kuzungumzia, ni kielelezo kwamba nchi sasa ina shida.

 

TUNAONA Bunge na Serikali, taasisi mhimili katika uendeshaji wa nchi, zinavutana. Kila moja inatunishia mwingine misuli.

26/03/2010