HABARI MAHUSUSI

CCM yateua 'mafisadi' kufadhili Kikwete 2010

Na Saed Kubenea 18 Nov 2009

Rostam Abdulrasul Aziz

WATUHUMIWA wa ufisadi wameteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuunda kamati ya kukusanya fedha za uchaguzi mkuu ujao, MwanaHALISI limeelezwa.

 
SHIDA Salum, mama mzazi wa Zitto Kabwe
Na Mwandishi Wetu 18 Nov 2009

SHIDA Salum, mama mzazi wa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), Zitto Kabwe, ameibuka na kusema mwanaye anatumiwa kukivuruga chama chake.

 
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye
Na Mwandishi Wetu 18 Nov 2009

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, alimfukuza ofisini kwake Mohamed Gire, anayedaiwa kuwa ni mwenyekiti mtendaji wa kampuni ya Richmond Development Company (LLC), baada ya kutilia shaka uwezo wake kama mwekezaji mwaka 2001, imefahamika.

 
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT), Sophia Simba
Na Nkwazi Mhango 18 Nov 2009

UKIMUWEKA mwanaharamu kwenye chupa, atatoa kidole. Hii imejidhihirisha juzi kwenye mkutano wa kamati ya mipasuko ya ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), iliyoongozwa na rais mstaafu mzee Ali Hassan Mwinyi mjini Dodoma.

 

TUNAOMBOLEZA maafa yaliyotokea kijijini Goha, Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro. Watu zaidi ya 20 walikufa kutokana na mafuriko yaliyotokana na maporomoko ya maji.

25/03/2010