HABARI MAHUSUSI

Wanawake UWT wavuana nguo 

Na Saed Kubenea 25 Nov 2009

Waziri wa Utawala Bora, Sophia Simba
Waziri Sophia Simba aongoza mashambulizi
Apuuza na kukejeli ujumbe wa Rais Kikwete

KIKAO cha Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake (UWT) kilichofanyika Dodoma wiki iliyopita, kiliishia kuwa cha matusi ya nguoni yaliyoongozwa na Waziri wa Utawala Bora, Sophia Simba.

 
John Jambele
Na Editha Majura 25 Nov 2009

ANAONGEA kwa taratibu. Haonyeshi kuwa mwenye majigambo kama ilivyo kwa baadhi ya wanasiasa wenye rika kama lake.

 
Rostam Aziz
Na Editha Majura 25 Nov 2009

TOFAUTI na alivyojigamba kwamba ni mlipaji mzuri wa madeni anayodaiwa na serikali, Mbunge wa Igunga, Rostam Azizi anadaiwa Sh. 2,576,583,013 tokea mwaka 1993, MwanaHALISI limegundua.

 
Rais Jakaya Kikwete
Na Saed Kubenea 25 Nov 2009

RAIS Jakaya Kikwete amerudia ndweo. Ni marejeo ya nafasi ya vijana katika uongozi na utawala nchini. Anasema katika kipindi chake cha pili cha uongozi, ataweka vijana wengi katika serikali yake.

 

LAWAMA kwa serikali zimezidi. Wananchi wanalalamika. Sasa wafadhili wanainua sauti zao kuitwanga serikali kwa ulegevu katika hatua za kupunguza umasikini na kutokomeza rushwa.

25/03/2010