HABARI MAHUSUSI

Kikwete ampiga 'stop' Rostam

Na Saed Kubenea 02 Dec 2009

Rais Jakaya Kikwete
Ahofia kuibua EPA nyingine
Ataka kutafutwa fedha halali

Taarifa kutoka ndani ya CCM zinasema hivi sasa unaandaliwa utaratibu mpya wa kutafuta fedha kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka kesho.

 
Rais mstaafu, Benjamin Mkapa
Na Stanislaus Kirobo 02 Dec 2009

RAIS mstaaafu  Benjamin Mkapa anajifanya hamnazo. Anatuhumu na kushutumu wananchi na vyombo vya habari, kwamba anasakamwa bila makosa.

 
KAPTENI George Mkuchika
Na Aristariko Konga 02 Dec 2009

KAPTENI George Mkuchika ameumbuliwa na wananchi katika jimbo lake la uchaguzi-Newala. Amezomewa  mbele ya mkuu wake wa kazi, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.

 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Sophia Simba
Na Mbasha Asenga 02 Dec 2009

WIKI iliyopita nilieleza sababu za kutoswa kwa baadhi ya mawaziri wa serikali ya awamu ya nne ya Rais Jakaya Kikwete kuwa ni pamoja na kushindwa kwao kuwajibika ipasavyo kwa majukumu waliyopewa.

 

VIONGOZI wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamechagiza wananchi wanaowaongoza kubadilika.

25/03/2010