HABARI MAHUSUSI

Siri ya Sheikh Yahya yafichuka

Na Saed Kubenea 30 Dec 2009

Sheikh Yahya Hussen

CHANZO cha vitisho vilivyotolewa na Sheikh Yahya Hussen kwamba atakayempinga Rais Jakaya Kikwete atakufa ghafla kimefahamika.

 
Rais Amani Abeid Karume
Na Jabir Idrissa 30 Dec 2009

SAID Soud Said awaeza kuwa mwanasiasa mwenye akili nyingi. Lakini naona sasa anakuwa "mwanasiasa hatari."

 
Dk. Wilibroad Slaa
Na Mwandishi Maalum 30 Dec 2009

ALIPOKUJA na orodha ya walioitwa "watafuna nchi," ambayo iliwaacha uchi karibu vigogo wote wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wenye akili walitia akilini.

 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Na Saed Kubenea 30 Dec 2009

UTAWALA wa awamu ya nne umetimiza miaka minne madarakani; ambayo ni sawa na asilimia 80 ya muda wa miaka mitano ya kipindi cha kwanza cha utawala wa Jakaya Mrisho Kikwete.

 

MWENYEKITI wa Tanzania Labour Party (TLP), Augustine Mrema, ameibuka na mbiu mpya. Anawashutumu vikali wale wote waliotoa kauli zao kwenye kongamano lililoandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF).

Wafanyakazi TAZARA wastaafishwa bila mafao Nicoline John [1,858]
Mkataba wa mabilioni LAPF wavunjwa Editha Majura [1,842]
'Nyau' wa CCM na Sheikh Yahya Ndimara Tegambwage [1,633]
Uhuru wa kutoa maoni siyo uhaini M. M. Mwanakijiji [1,511]
Nani anashauri rais wetu? Jonathan Liech [1,504]
"Tutapiga kelele mpaka watuelewe" Rwambogo Edson [1,480]
Ajali tunazitengeneza wenyewe, tubadilike Alfred Lucas [1,478]
Unajimu unaoua demokrasia haufai Aristariko Konga [1,409]
Umma ufanye maamuzi sahihi Nkwazi Mhango [1,346]
Ahmedinejad aapa kuendeleza madini ya uranium [1,702]
25/03/2010