HABARI MAHUSUSI

Karume amzunguuka Kikwete

Na Mwandishi Wetu 06 Jan 2010

Rais Amani Abeid Karume

HOFU imetanda. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kumeguka – Zanzibar huku na Tanganyika kule – hivyo kuweka Muungano mashakani.

 
Na M. M. Mwanakijiji 06 Jan 2010

HUU ni mwaka wa uchaguzi. Mwaka ambao utaamua ni mwelekeo upi kama taifa tuuchukue. Mwaka huu ni mwaka wa uamuzi; uamuzi kati ya yale yale au tofauti, vile vile au tofauti, walewale au tofauti. Ni mwaka wa kuamua kuridhika au kutoridhika.

 
Rais Jakaya Kikwete
Na Gwandumi Mwakatobe 06 Jan 2010

NIMEJITOKEZA kujibu hoja iliyoibuliwa na mwandishi wa habari, Saed Kubenea (MwanaHALISI toleo Na. 169) juu ya miaka minne ya utawala wa Rais Jakaya Kikwete.

 
RASHID Mfaume Kawawa
Na Saed Kubenea 06 Jan 2010

RASHID Mfaume Kawawa, mmoja wa waasisi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na taifa, ameondoka huku akiwa bado anahitajika.

 

MWAKA 2009 ulikumbwa na mjadala mizito. Mingi ilihusu tuhuma na shutuma kuhusu ufisadi serikalini na katika taasisi zake.

Mrema atamani kurudia ushushushu Editha Majura [3,242]
Mwandishi, msomaji ulingoni Ndimara Tegambwage [1,655]
Kawawa kamfuata Nyerere, ole wake CCM Mbasha Asenga [1,610]
Ujumbe wa rais nje uwekwe wazi Nkwazi Mhango [1,536]
Serikali Zanzibar 'haijui' vipaumbele Jabir Idrissa [1,428]
Watanzania watumwa ndani ya nchi yao Rwambogo Edson [1,385]
Naitamani ndoa ya Yanga, Papic Alfred Lucas [1,647]
25/03/2010