HABARI MAHUSUSI

Kikwete njiapanda

Na Saed Kubenea 20 Jan 2010

Rais Jakaya Kikwete
CCM kumfia mikononi
Vigogo kibao kutimka

KUNDI la vigogo waandamizi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) limepanga kujiondoa ndani ya chama hicho iwapo masharti yake hayatakubaliwa, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Joseph Butiku
Na Mwandishi Wetu 20 Jan 2010

MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku amesema hataki malumbano na mfanyabiashara Mustafa Jaffer Sabodo wa Dar es Salaam.

 
Profesa Mwesiga Baregu
Na Saed Kubenea 20 Jan 2010

UNAPOANZA kusoma makala hii, chukua kalamu na karatasi. Anza kuorodhesha watu unaowajua ambao ni waajiriwa serikalini lakini wana nafasi za kisiasa katika vyama vya siasa.

 
Basil Mramba
Na Ezekiel Kamwaga 20 Jan 2010

UKAIDI wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Basil Mramba, ndio ulisababisha kuteketea kwa Sh. 10 bilioni zilizotolewa na serikali kufufua kiwanda cha General Tyre East Africa (GTEA).

 

UKISOMA "Taarifa Maalum" ya Waziri wa Nchi Ofisi ya waziri Mkuu (TAMISEMI), Celina Kombani kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika 25 Oktoba mwaka jana, utaamini uchaguzi haukuwa na tatizo hata moja.

Mizengo Pinda: Siamini katika mali Ezekiel Kamwaga [4,768]
Pinda ametangaza 'umasikini' Ndimara Tegambwage [2,357]
Mkuchika asituchonganishe na jeshi Nkwazi Mhango [1,849]
Profesa Shivji amemaliza kila kitu Jabir Idrissa [1,693]
TANESCO 'wachomoa' umeme Kipawa Editha Majura [1,679]
Tunajifunza nini kutoka Angola? Alfred Lucas [1,575]
25/03/2010