HABARI MAHUSUSI

CCM usanii mtupu

Na Mwandishi Wetu 17 Feb 2010

Mwenyekit wa CCM, Jakaya Mrisho Kikwete

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) ni "usanii mtupu." Kelele za kupambana na ufisadi zimeishia kwenye ndoa na watuhumiwa wakubwa.

 
Mzee Rashid Mfaume Kawawa
Na Ezekiel Kamwaga 17 Feb 2010

NIKIRI mapema kwamba nilishangazwa sana na wasifu wa mzee Rashid Mfaume Kawawa baada ya kuwa amefariki dunia siku za mwisho wa mwaka 2009.

 
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) Jaji Lewis Makame
Na Ezekiel Kamwaga 17 Feb 2010

TANZANIA iko hatarini kuingia katika machafuko wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu iwapo suala la mgombea binafsi halitapatiwa ufumbuzi, MwanaHALISI limeambiwa.

 
WAZIRI Philip Marmo
Na Ndimara Tegambwage 17 Feb 2010

WAZIRI Philip Marmo anahaha kutetea Chama Cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake. Ni kuhusu hoja ya mgombea binafsi katika uchaguzi kwa nafasi za viongozi wa kisiasa.

 
Mwenyekiti wa Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila
Na Ezekiel Kamwaga 17 Feb 2010

JUMAPILI iliyopita, Mwenyekiti wa Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, alifanya mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusiana na suala la mgombea binafsi.

 

KAULI ya Jaji Mkuu, Augustino Ramadhani kuhusiana na mgombea binafsi katika uchaguzi mkuu ujao, inawabebesha watawala fedheha.

24/03/2010