HABARI MAHUSUSI

Waziri Kombani ndani ya sakata la Jery Muro

Na Saed Kubenea 24 Feb 2010

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Celina Kombani

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Celina Kombani anachunguzwa na vyombo vya dola kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, MwanaHALISI limeelezwa.

 
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda
Na Mbasha Asenga 24 Feb 2010

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Tabora mwishoni mwa wiki, alitoa kauli yenye utata alipokuwa kwenye jimbo la Igunga, ambalo mbunge wake ni Rostam Aziz.

 
Mkurugenzi Mtendaji NIC, Margret Ikongo
Na Mwandishi Wetu 24 Feb 2003

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imeamuru kurudishwa kazini kwa wafanyakazi 25 wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) waliofutwa kazi miaka 11 iliyopita.

 
Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati na Madini, William Shelukindo
Na Abel Ndekirwa 24 Feb 2010

KUNDI la wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwamo wabunge waliojipachika jina la "wapiganaji," limesaliti umma na kujisaliti lenyewe.

 
TAHARIRI: Iko wapi AU?

MATUKIO ya kishetani yanayoendelea nchi kadhaa za Afrika yanathibitisha jambo moja kubwa: Umoja wa Afrika (AU) haujamudu vema wajibu wake.

'Mafahali wa MULEBA: Ni Tibaigana, Tibaijuka, Masilingi Serapion Damian [2,788]
'Mitume kumi na mbili' imevuna au imepoteza? Saed Kubenea [2,411]
CCM achieni Zanzibar ijizongoe Jabir Idrissa [1,938]
Kikwete jitose urais, lakini... M. M. Mwanakijiji [1,834]
Ukerewe, Musoma na Ivory Coast Ezekiel Kamwaga [1,784]
Rada imefunga luku watawala Nkwazi Mhango [1,682]
Mapunda kampiga 'red card' Nchimbi Clement Ulisa [1,842]
24/03/2010