HABARI MAHUSUSI

Lowassa aingiza serikali matatani

Na Mwandishi Wetu 10 Mar 2010

Edward Lowassa

MAAMUZI ya serikali yaliyotolewa wakati wa waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, yataitia hasara ya zaidi ya Sh. 8 bilioni, MwanaHALISI lina taarifa.

Hasara hiyo inatokana na Mahakama Kuu, Kitengo cha Biashara kuiamuru serikali kulipa kiasi hicho kwa kampuni ya Empire Properties Limited,

 
Mbunge wa Mbeya Mjini, Benson Mpesya
Na Mwandishi Wetu 10 Mar 2010

KINYANG’ANYIRO cha ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mbeya kimeibua mgawanyiko wa aina yake.

 
Spika wa Bunge la Jamhuri, Samwel Sitta
Na Saed Kubenea 10 Mar 2010

SABABU za Spika wa Bunge la Jamhuri, Samwel Sitta kuamuru bunge kufunga mjadala wa Richmond ni nyingi.

 
Jaji Mkuu, Augustino Ramadhani
Na M. M. Mwanakijiji 10 Mar 2010

IJUMAA iliyopita Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alifungua jengo la Mahakama ya Rufani nchini lililojengwa kwa kumbukumbu ya Jaji Mkuu wa kwanza mzalendo, Augustine Said.

 

MATUMIZI mabaya ya fedha za umma imekuwa ni ugonjwa sugu kwa serikali iliyopo madarakani. Tumewahi kuelezea katika safu hii ubaya wa nidhamu mbovu katika matumizi ya fedha za umma kwamba ni pamoja na kupoteza fursa za nchi kuendelea.

20/03/2010