HABARI MAHUSUSI

Kikwete hachaguliki

Na Ezekiel Kamwaga 30 Mar 2010

Rais Jakaya Kikwete
Mzimu wa Lowassa wamtafuna
Migawanyiko CCM yamponza

RAIS Jakaya Kikwete hauziki kama ilivyokuwa wakati akiingia madarakani, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejiridhisha.

 
Renatus Muabhi
Na Mwandishi Wetu 30 Mar 2010

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Jamii (CCJ), Renatus Muabhi amekana kuhusika na vitendo vya ushoga.

 
Mke wa Rais, Salma Kikwete
Na Ezekiel Kamwaga 30 Mar 2010

UKISOMA asili ya jina la First Lady, unaweza kupatwa na mshangao kidogo. Kwa mara ya kwanza, lilitamkwa hadharani na Rais wa 12 wa Marekani, Zachary Taylor, mwaka 1849.

 
Zakia Meghji
Na Saed Kubenea 30 Mar 2010

MASKINI Zakia Meghji. Amepewa kazi iliyotaka kumuangamiza. Amebebeshwa zigo ambalo mwaka 2005 lilikuwa limebebwa na mfanyabiashara na mbunge wa Igunga, Rostam Aziz.

 

ILIBAINIKA wiki iliyopita kwamba Sheria ya Gharama za Uchaguzi iliyosainiwa na Rais Jakaya Kikwete tarehe 17 Machi mwaka huu, ilikuwa na vipengele ambavyo havikupitishwa na Bunge.

Moto wa kampeni chafu wawaka Tabora Hastin Liumba [1,551]
Au Waziri Kiongozi, Shamsi Vuai Nahodha Jabir Idrissa [1,298]
RITES iwe fundisho kwa serikali Nkwazi Mhango [1,286]
Mawaziri wamesoma vitabu vingapi? Amani Mwaipaja [1,278]
CCM imelogwa na CCJ M. M. Mwanakijiji [1,273]
NEC isisubiri uchaguzi kuvurugika Mbasha Asenga [1,210]
Watawala walioshindwa kazi, waondolewe M. M. Mwanakijiji [1,078]
'Mfalme wa Wafalme' matatani na Mfalme Zakaria Malangalila [1,476]
04/04/2010