HABARI MAHUSUSI

Kikwete awaangukia maaskofu

Na Saed Kubenea 07 Apr 2010

Rais Jakaya Kikwete
Awatuma Malecela, Msekwa kuteta
Wenyewe wazidi kutoa maelekezo

MISIMAMO mikali ya makanisa nchini imetikisa serikali na kufanya Rais Jakaya Kikwete kuomba huruma, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Mama Salma Kikwete
Na Nkwazi Mhango 07 Apr 2010

NINAKUANDIKIA Mama Salma Kikwete. Kwanza, nakusalimu na kukutakia shughuli na afya njema. Pili, nakupa pole kwa ziara yako ya wilaya ya Tarime

 
Rostam Aziz
Na Saed Kubenea 07 Apr 2010

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeingizwa kwenye tope. Gazeti la mjumbe wa Kamati Kuu (CC) ya chama hicho, Rostam Aziz limemzulia uwongo Rais Jakaya Kikwete.

 
Rajabu Kiravu, Mkurugenzi wa NEC
Na Ndimara Tegambwage 07 Apr 2010

KILICHOTOKEA Kenya wakati na baada ya uchaguzi mkuu mwaka 2007, kinaweza kutokea Tanzania mwaka huu.

 

WIKI iliyopita, Rais Jakaya Kikwete alieleza utayari wake wa kukutana na wafanyakazi nchini kwa lengo la kutaka wasigome kama walivyopanga.

Pigo MwanaHALISI Ezekiel Kamwaga [2,533]
Tumekwama, turejee kwa Nyerere Renatus Mkinga [2,035]
Migawanyiko CCM inaipeleka Zanzibar kubaya Jabir Idrissa [1,667]
Wafanyakazi wakiogopa kugoma watajimaliza M. M. Mwanakijiji [1,524]
EAC: Vipusa tu taabu, Shirikisho je? Ezekiel Kamwaga [1,494]
Sheria ya Gharama Uchaguzi imekwama kabla kuanza Mbasha Asenga [1,490]
Kila la kheri Wambura, Rage lakini... Yusuf Aboud [2,090]
15/04/2010