HABARI MAHUSUSI

Rais Kikwete aumbuka

Na Saed Kubenea 14 Apr 2010

Rais Jakaya Kikwete

KUMBE Rais Jakaya Kikwete hakusoma sheria aliyosaini kwa mbwembe. Sasa baada ya kugundua kasoro zake anataka ikarabatiwe kwa njia ya kanuni, MwanaHALISI limeelezwa.

 
YUSUF Makamba
Na M. M. Mwanakijiji 14 Apr 2010

MWISHONI mwa juma lililopita Rais Jakaya Kikwete alizindua utaratibu wa kuchangia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa njia ya ujumbe mfupi wa simu; utaratibu ambao kwa siasa za Tanzania uliasisiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mwaka jana.

 
Dk. Mohammed Gharib Bilal
Na Jabir Idrissa 14 Apr 2010

VIONGOZI wanaotaka kuwania urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huenda wakaenguliwa wote na hata kuchukuliwa hatua za kinidhamu.

 
John Tendwa
Na Mbasha Asenga 14 Apr 2010

WAKATI Msajili wa Kwanza wa Vyama vya Siasa nchini, George Liudi, alipomaliza utumishi wake kwenye ofisi hiyo na ghafla akatangaza na kuanza harakati za kusaka ubunge wa Afrika Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), watu wengi walijiuliza hivi kiongozi huyo alikuwa CCM tangu lini?

 

KATIKA toleo la gazeti hili tumechapisha habari inayozungumzia sheria ya gharama za uchaguzi, tukihoji hatua ya Rais Jakaya Kikwete kusaini sheria hiyo kwa mbwembwe bila kuisoma vizuri.

16/04/2010