HABARI MAHUSUSI

Kikwete achemka

Na Saed Kubenea 05 May 2010

Rais Jakaya Kikwete
Nyaraka za serikali zamuumbua
Wasomi, TUCTA wamshangaa

RAIS Jakaya Kikwete ameelezwa kuwa ni dikteta, asiyetii sheria, asiyesema ukweli na aliyepotoshwa na wasaidizi wake, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Tundu Antipas Liss
Na Ezekiel Kamwaga 05 May 2010

MIAKA mitatu iliyopita, katika viwanja vya Mwembeyanga jijini Dar es Salaam, yalitokea mambo makubwa mawili yaliyoyobadilisha mwelekeo wa siasa za upinzani nchini.

 
Profesa Juma Athumani Kapuya
Na Ezekiel Kamwaga 05 May 2010

Kuna watu wanazaliwa na bahati. Wengine wanakutana na bahati wakati fulani katika kipindi cha maisha yao. Wengine wanaitafuta na kupigana kwa ajili ya bahati - Malcolm X

 
Waziri wa Nishati na Madini,  William Ngeleja
Na Ndimara Tegambwage 05 May 2010

HAPO zamani wananchi walioishi katika maeneo yenye madini waliamka asubuhi na kuokota madini yaliyoota kama uyoga. Waliuza na kumaliza shida zao.

 

RAIS Jakaya Kikwete juzi alizungumza na wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) walioko mkoa wa Dar es Salaam kuhusu mambo mawili.

Uteuzi wa Rais: Wafanyakazi wanaumia Saed Kubenea [2,613]
Rais wetu Kikwete unajitakia chuki dhidi yetu Paschally Mayega [2,148]
Wamiliki mgodi North Mara wabanwa kila upande Mwandishi Maalum [2,055]
Muda wa SMZ kufedheheka unakaribia Jabir Idrissa [1,786]
Bukoba hawana madaktari Felician Byakugira [1,718]
Tunatamani makubwa, lakini hatuyawezi Mbasha Asenga [1,683]
07/05/2010