HABARI MAHUSUSI

Safari za Kikwete zakausha hazina

Na Ezekiel Kamwaga 12 May 2010

Rais Jakaya Kikwete

SAFARI za Rais Jakaya Kikwete nje ya nchi, tangu alipoingia madarakani, zimeligharimu taifa mabilioni ya shilingi, MwanaHALISI limebaini.

 
Fred Mpendazoe
Na Saed Kubenea 12 May 2010

BUNGE la Jamhuri linaendelea  kumlipa mshahara mbunge wa Kishapu (CCM), Fred Mpendazoe, imefahamika.

 
Kaimu Katibu Mkuu wa TUCTA, Nicholaus Mgaya
Na Saed Kubenea 12 May 2010

RAIS Jakaya Kikwete amesema serikali haina uwezo wa kulipa kima cha chini cha mshahara wa Sh. 315,000 kwa watumishi wake

 
Musa Azan Zungu, Mbunge wa Ilala
Na M. M. Mwanakijiji 12 May 2010

MATATIZO mengi yanayoonekana kwenye baadhi ya majimbo yetu ya uchaguzi yanahusiana moja kwa moja na watu wanaotuwakilisha.

 

KWA muda wa siku tatu kuanzia tarehe 5 Mei hadi 7 Mei mwaka huu, nchi yetu ilishuhudia ugeni mkubwa wa viongozi wakuu wa nchi mbalimbali na wataalamu wa uchumi waliokuja kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa Jukwaa la Uchumi (WEF) uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Kwa nini Kikwete hataki kura 350,000? Ndimara Tegambwage [1,982]
Muungano wetu haujatengemaa Ibrahim Hussen [1,956]
Kawawa na wenzake walipotea hapa… Ezekiel Kamwaga [1,753]
Wananchi waweza kuleta mabadiliko Jabir Idrissa [1,659]
TBL yabanwa mbavu Alfred Lucas [1,618]
Utawala wetu umerasimisha ubazazi Mbasha Asenga [1,445]
Rage afute uoza uliosakini klabuni Simba Alfred Lucas [1,705]
14/05/2010