HABARI MAHUSUSI

Lowassa amhujumu Mwandosya

Na Saed Kubenea 16 Jun 2010

Edward Lowassa
Mwamunyange kumvaa Mwakyembe
Karavina kumtokomeza Sitta
Sitta alalamika kuchezewa rafu

NYARAKA za siri zinazoonyesha mpango wa kumtokomeza kisiasa Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Mark Mwandosya zimevuja.

 
Rais Jakaya Kikwete
Na Saed Kubenea 16 Jun 2010

ETI kituo cha mafuta ambako magari ya msafara wa Rais Jakaya Kikwete yaliwekwa mafuta na kushindwa kuwaka, ni cha mmiliki “anayeaminika.”

 
Rais Jakaya Kikwete
Na Joster Mwangulumbi 16 Jun 2010

HII ndiyo staili ya Rais Jakaya Kikwete. Anapokuwa na jambo, ambalo anajua halitekelezeki anawaita makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), halafu anazungumza ili nchi nzima ijue.

 
John Tendwa, Msajili wa Vyama vya Siasa
Na M. M. Mwanakijiji 16 Jun 2010

UCHAGUZI mkuu ujao tayari umevurugwa. Na kama hatua za haraka hazitachukuliwa, taifa linaweza kuwa miongoni mwa nchi zinazoendesha uchaguzi mbovu tangu nchi irudi katika mfumo wa vyama vingi miaka 17 iliyopita.

 

SERIKALI imetangaza rasmi kumalizika kwa muda wa mpango maalum wa kukuza uchumi na kuondoa umasikini. Mpango huu ndio umekuwa ukiitwa MKUKUTA-I.

18/06/2010