HABARI MAHUSUSI

Kikwete amtema rasmi Lowassa

Na Mwandishi Wetu 23 Jun 2010

Rais Jakaya Kikwete na Rais Amani Karume
Amwandaa Karume kumrithi 2015
Dk. Shein ‘kupewa’ urais Zanzibar
Lengo ni kumaliza makundi, fitina

RAIS Jakaya Kikwete na Rais Amani Abeid Karume watakabidhiana urais wa Jamhuri ya Muungano mwaka 2015, taarifa zimeeleza.

 
Na Mwandishi Wetu 23 Jun 2010

WAKATI mwingine ni vigumu kuamini namna nchi yetu inavyoruhusu mambo yaende kienyeji bila ya kuangalia maslahi ya taifa baadaye.

 
 Dk. Mohammed Gharib Billali mgombea urais CCM
Na Saed Kubenea 23 Jun 2010

MILANGO ya kinyang’anyiro cha urais wa Jamhuri ya Muungano na ule wa Zanzibar, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefunguliwa katikati ya mazingira magumu ya maisha ya wananchi wengi.

 
Jengo la Bunge Dodoma
Na Vincent Benjamin 23 Jun 2010

SERIKALI imetenga Sh. 30 bilioni kwa ajili ya kukarabati na kurekebisha jengo la Bunge, mjini Dodoma. Lengo ni kukidhi mahitaji ya kuhudumia wabunge wapya 40 watakaoingia baada ya uchaguzi ujao.

 

IJUMAA iliyopita, serikali ilitangaza uamuzi wake wa kuongeza idadi ya mikoa na wilaya kwa lengo la kurahisisha utawala na kuleta maendeleo.

Kikwete awaliza Maaskofu Saed Kubenea [2,795]
Mikoa mipya aina nyingine ya kupeana ulaji Mbasha Asenga [2,404]
Dk. Kiula apania kumng’oa Chiligati Joster Mwangulumbi [2,339]
Mbio za urais CCM na hatima ya Z’bar Jabir Idrissa [2,014]
Tuumizane kwa ukweli, siyo uwongo Benson Msemwa [1,702]
Tukubaliane, yanayonuka yatupwe M. M. Mwanakijiji [1,654]
Taifa linahitaji malezi mapya Padre Baptiste Mapunda [1,636]
Familia ya Al Gore yasambaratika [2,187]
Fursa pekee kwa Yanga kuandika ukurasa mpya Alfred Lucas [1,829]
25/06/2010