HABARI MAHUSUSI

Dk. Slaa atishia Kikwete

Na Saed Kubenea 08 Sep 2010

Yusuf Makamba, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi

VIGOGO wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wameokoa kampeni za uchaguzi kwa kukataa kuingia katika malumbano yanayohusu maisha binafsi ya wagombea, imefahamika.

 
Lawrence Masha, mgombea wa CCM jimbo la Nyamagana
Na Mwandishi Wetu 08 Sep 2010

EZEKIA Dibongo Wenje (32) amerejeshwa katika kinyang’anyiro cha ubunge katika jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza. Anagombea kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

 
Jakaya Kikwete, mgombea Urais tiketi ya CCM
Na Saed Kubenea 08 Sep 2010

RAIS Jakaya Kikwete ameanza ngwe nyingine ya kuzunguuka nchi katika harakati zake za kuwania muhula wa pili wa uongozi.

 
John Tendwa
Na Ezekiel Kamwaga 08 Sep 2010

UAMUZI wa Msajili wa Vyama Vya Siasa, John Tendwa juu ya pingamizi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), umefichua utata uliopo katika sheria tatu za uchaguzi nchini.

 

JUZI na jana, wanafunzi 924,280 wa shule za msingi nchini kote walifanya mitihani yao ya kuhitimu masomo ya elimu ya msingi.

CCM wamepanda farasi kiwete Ndimara Tegambwage [3,377]
Makamba: Hakuna atakayebaki salama Ezekiel Kamwaga [3,282]
Mwacheni Dk. Slaa, jibuni hoja Mwandishi Maalum [2,310]
Mvinyo uleule wa Anjelina, sasa ni Josephine Mbasha Asenga [2,153]
CCM wanachafua na kujichafua Joster Mwangulumbi [2,125]
Kampeni ya vurugumechi haina nafasi Jabir Idrissa [1,824]
Wanapozitaka sifa, wabebe pia lawama M. M. Mwanakijiji [1,711]
Ni gharama kurudia kufanya makosa Joster Mwangulumbi [1,669]
FIFA: Makocha wa kigeni waliiangusha Afrika [1,697]
12/09/2010