HABARI MAHUSUSI

Mkapa, Malecela, Sumaye wamkimbia Kikwete

Na Saed Kubenea 29 Sep 2010

Mgombea Urais kupitia CCM, Jakaya Kikwete

VIGOGO waastafu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na serikali, wamekacha kampeni za mgombea urais Jakaya Kikwete, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Vurugu uchaguzi wa Kenya 2007
Na Ndimara Tegambwage 29 Sep 2010

KATIKA nchi jirani – Kenya, Tume ya Uchaguzi iliacha kazi yake ya kusimamia uchaguzi na badala yake ikafanya kazi ya kuteua rais.

 
Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Willibrod Slaa
Na Mwandishi Wetu 29 Sep 2010

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepanga kutoa elimu kwa wapigakura kwa njia ya kutoboa siri zote za ufisadi zinazoigusa serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia wiki ijayo.

 
Rais Kikwete akimnadi mtuhumiwa wa kashfa ya Kagoda
Na Balibati Kangungu 29 Sep 2010

BABA wa Taifa, Mwalimu Nyerere aliwahi kusema: “Kwa kawaida watu makini wanaogopwa na wala rushwa; serikali ‘corrupt’ – ya wala rushwa – hutumwa na wenye fedha.”

 

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ilifanya kazi kubwa mwanzoni mwa mwaka huu, kuhamasisha wananchi, kwa mabango na vipeperushi juu ya umuhimu wa kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura.

03/10/2010