HABARI MAHUSUSI

Umaarufu wa Kikwete 'feki'

Na Saed Kubenea 13 Oct 2010

Mwenyekiti mwenza wa REDET, Dk. Benson Bana

KILE kinachoitwa umaarufu wa Jakaya Kikwete, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeelezwa kuwa “taarifa za kupanga” za asasi zinazoendesha kura ya maoni, MwanaHALISI limeelezwa.

 
WAZIRI mkuu mstaafu, Frederick Sumaye
Na Ezekiel Kamwaga 13 Oct 2010

WAZIRI mkuu mstaafu, Frederick Sumaye ameingia katika kampeni za mgombea urais wa chama chake kwa sharti la kutomchafua Dk. Willibrod Slaa.

 
Hayati Mwalimu Nyerere
Na Nkwazi Mhango 13 Oct 2010

KESHO ni Oktoba 14, siku ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa taifa, Julius Nyerere kilichotokea Uingereza mwaka 1999.

 
Dk. Willibrod Slaa, mgombea Urais wa CHADEMA
Na Dk. Kitila Mkumbo 13 Oct 2010

KUNA wanaotilia shaka sera ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutoa elimu bure, kuanzia ngazi ya chekechea.

 

MWAKA jana serikali iliwalazimisha wamiliki wote wa simu za mkononi kusajili namba za simu zao, kwa maelezo kwamba huo ni utaratibu mpya wa kudhibiti matumizi mabaya na uhalifu.

Serikali, TCRA wanajua simu hizi Ndimara Tegambwage [3,975]
Dk. Slaa: Mjenzi makini wa taifa Maureen Urio [3,319]
Kila zama zina mashujaa wake M. M. Mwanakijiji [3,295]
Ufukara katikati ya utajiri wa mgodi Buzwagi Ali Lityawi [2,542]
Yuko wapi aliyemsafi CCM? Hilal K. Sued [2,493]
CCM yafika mwisho wa barabara Joster Mwangulumbi [2,383]
Fikra sahihi ni kuondoa CCM Joster Mwangulumbi [2,208]
Waliojiandikisha hawapigi kura: Kwa nini? Pontian Kaiza [2,197]
Kutoka wapiganaji hadi wasanii Ezekiel Kamwaga [2,193]
Kila uchao ni mbinu chafu mpya, tuzipuuze Mbasha Asenga [2,172]
CCM, upinzani wana safari ndefu John Kibaso [2,018]
Tume ya uchaguzi ya Z’bar imepata, ikapatikana Jabir Idrissa [1,919]
Afghanistan: Mtihani mkubwa kwa Obama Hilal K. Sued [1,732]
Kaijage amekuwa mbuzi wa kafara Joster Mwangulumbi [1,991]
16/10/2010