HABARI MAHUSUSI

Wizi wa kura wanukia

Na Saed Kubenea 27 Oct 2010

WAKALA wa chama cha siasa anayesimamia uchaguzi

MAWAKALA wa vyama vya siasa wanaosimamia uchaguzi, wametengewa “kiasi kikubwa” cha fedha ili kusaliti wagombea wao, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Mkurugenzi wa NEC, Rajabu Kiravu
Na Dk. Noordin Jella 27 Oct 2010

TAKWIMU za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu idadi ya wapigakura, si sahihi na zinauweka uchaguzi wa mwaka huu katika mazingira magumu kuliko chaguzi zingine zote zilizopita.

 
Fatma Mussa Maghimbi
Na Joster Mwangulumbi 27 Oct 2010

WANASIASA wengi ni kama samaki aina ya mkizi. Wana hasira ambazo mara nyingine huwaponza na ndiyo kiini cha methali isemayo “ana hasira za mkizi.”

 
RAIS Jakaya Kikwete
Na Mwandishi Wetu 27 Oct 2010

RAIS Jakaya Kikwete hakuisoma Sheria ya Gharama za Uchaguzi aliyosaini kwa mbwembe 17 Machi 2010?

 

WATANZANIA wenye sifa ya kupiga kura na ambao walijiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura watatumia haki yao kidemokrasia kuchagua viongozi wanaowataka Jumapili ijayo.

Dk. Slaa aongoza kura za maoni Ezekiel Kamwaga [2,510]
Udini wa CCM huu hapa Joster Mwangulumbi [2,258]
Heri kwa watakaochagua mabadiliko Ndimara Tegambwage [2,003]
Kwanini nitampenda Kikwete M. M. Mwanakijiji [1,967]
Vijana wasema udini, ukabaila vimo CCM Saed Kubenea [1,836]
Ya Tunduma yana harufu ya mbinu za CCM Mbasha Asenga [1,738]
Ukaburu huu wa CCM ni hatari Joster Mwangulumbi [1,738]
Muafaka sasa Seif kuongoza Zanzibar Jabir Idrissa [1,692]
JK anakosa ujasiri kuzungumzia ufisadi Hilal K. Sued [1,682]
Uchaguzi utapita, nchi itabaki Ezekiel Kamwaga [1,505]
Wimbo waibua makovu ya ubaguzi A. Kusini Hilal K. Sued [1,462]
Mambo magumu kwa AFC, Majimaji, Lyon Alfred Lucas [1,483]
08/11/2010