HABARI MAHUSUSI

CHADEMA: Matokeo yetu yamehujumiwa

Na Alfred Lucas 03 Nov 2010

Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatuhumiwa kuhujumu matokeo ya uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani kwa lengo la kukinyima ushindi Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), MwanaHALISI imeelezwa.

 
RAIS mstaafu Benjamin Mkapa
Na Mwandishi Maalum 03 Nov 2010

RAIS mstaafu Benjamin Mkapa si mtu anayependa kusema au kuhojiwa, lakini pale anapofanya hivyo huzua kasheshe na kauli yake kulalamikiwa.

 
Joseph Mbilinyi, mbunge wa Mbeya mjini
Na Mwandishi Wetu 03 Nov 2010

HISTORIA imeandikwa. Alipotangaza dhamira yake kutaka kuwania ubunge katika jimbo la Mbeya Mjini miezi minne iliyopita, wengi walifikiri kuwa ni utani na mzaha wa mwaka.

 
Hayati Mwalimu Julius Nyerere
Na M. M. Mwanakijiji 03 Nov 2010

UCHAGUZI umemalizika. Kinyume na matarajio ya walioko madarakani, wananchi hawakusikiliza tambo za kampeni za chama kilichopo ikulu.

 

TANGU uliporejeshwa mfumo wa vyama vingi nchini, chaguzi za rais, wabunge, wawakilishi na masheha kwa visiwa vya Zanzibar zimekuwa zikigubikwa na vurugu.

Ya Nixon kuikumba Ikulu ya Dar? Joster Mwangulumbi [2,509]
Ikulu yagharimia kuchafua upinzani Ezekiel Kamwaga [2,309]
Maalim Seif amezaliwa upya [2,140]
Askofu Mokiwa tuepushe na uchuro huu Mbasha Asenga [2,113]
Kazi ya kwanza kuponya majeraha ya udini Joster Mwangulumbi [2,044]
Tume ya Uchaguzi wakala wa CCM? Saed Kubenea [1,922]
Rais Kikwete na hatima ya CCM Hilal K. Sued [1,904]
Ukosefu huduma muhimu waua demokrasia Meddy Mulisa [1,705]
Nani wanachafua Mto Ngerengere? Ezekiel Kamwaga [1,656]
Serikali ya umoja haiepukiki Bara Ezekiel Kamwaga [1,635]
Kwaheri kipa Syllersaid Mziray Joster Mwangulumbi [2,004]
30/12/2010