HABARI MAHUSUSI

Urais wa Kikwete utata mtupu

Na Saed Kubenea 15 Dec 2010

Rais Jakaya Kikwete

MATOKEO ya uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani wa Oktoba mwaka huu, yanazidi kuzua utata, MwanaHALISI limeelezwa.

 
ZITTO Kabwe, Naibu katibu mkuu wa CHADEMA
Na Ezekiel Kamwaga 15 Dec 2010

ZITTO Kabwe, naibu katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amekuwa na mawasiliano ya karibu na na mfanyabiashara na mbunge wa Igunga, Rostam Aziz, imefahamika.

 
Dk. Willibrod Slaa
Na M. M. Mwanakijiji 15 Dec 2010

MOJA ya makala niliyoandika mara baada ya uchaguzi mkuu, ilihusu kiongozi mmoja wa kale ambaye dini zote kubwa za Uyahudi, Uislamu na Ukristu zinamtambua kutokana na uongozi wake wa hekima.

 
Celina Kombani
Na Ndimara Tegambwage 15 Oct 2010

MSUKUMO wa kudai katiba mpya “katika mazingira ya amani” ili kuepusha vurugu nchini, umezidi kuimarika.

 

HIVI karibuni, Waziri wa Viwanda na Biashara Dk. Cyril Chami alifanya ziara ya kujitambulisha kwa wafanyakazi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni Tanzania (BRELA) na huko alitoa msimamo wa serikali wageni waliojipa uenyeji.

Mwanamke ampeleka jela ‘mzungu’ Yusuf Aboud [3,054]
Tanesco, Ngeleja na giza Saed Kubenea [2,606]
Dowans kuifilisi Tanesco Jabir Idrissa [2,565]
Kinyang’anyiro cha umeya Ezekiel Kamwaga [2,195]
JK hana uwezo, ujasiri na mbinu kuiokoa CCM Hilal K. Sued [2,192]
Uhuru ni lazima, Jamhuri ni muhimu Ezekiel Kamwaga [2,126]
Viongozi Afrika genge la waroho wa madaraka Joster Mwangulumbi [2,088]
Kawambwa sasa akwepa vyombo vya habari Mbasha Asenga [2,027]
Wazalendo wanahimiza Katiba ifuatwe Jabir Idrissa [2,010]
Wasomaji wamwandama Kombani editor [1,933]
Watawala waondoe fikra viraka Joster Mwangulumbi [1,845]
Liu Xiabo alivyosukuma China kutohoa tuzo Hilal K. Sued [1,896]
TFF yapata mtendaji mahiri Joster Mwangulumbi [1,897]
30/12/2010