HABARI MAHUSUSI

Wezi wa Dowans hawa

Na Saed Kubenea 22 Dec 2010

Edward Hoseah, Mkurugenzi wa Takukuru

MAFISADI watatu waliojipanga kuchota Sh. 185 bilioni kutoka serikalini, zikiwa fidia kwa kuvunja mkataba wa kampuni ya kufua umeme ya Dowans, wamefahamika.

 
Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda
Na Mwandishi Wetu 22 Dec 2010

SERIKALI imezuia mwandishi wa MwanaHALISI kuhudhuria mkutano wa vyombo vya habari ulioitishwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.

 
Godbless Lema, Mbunge wa Arusha mjini
Na Josephat Isango 22 Dec 2010

TUSIDANGANYE. Rais Jakaya Kikwete, bado ana deni. Hajalilipa wala kulitangaza kwa wananchi wake.

 
Nazir Karamagi
Na Ezekiel Kamwaga 22 Dec 2010

ALIYEWAHI kuwa waziri wa nishati na madini katika serikali ya Rais Jakaya Kikwete, alitumia zaidi ya Sh. 400 milioni katika maandalizi ya mchakato wa kura za maoni ndani ya chama chake hadi Mei mwaka huu, MwanaHALISI limeelezwa.

 

SASA serikali imepitiliza katika kunyanyasa gazeti hili. Ijumaa iliyopita, mwandishi wetu, Saed Kubenea, alizuiwa kuingia mkutanoni Ikulu.

TINDO MHANDO: Aliowatetea ndiyo ‘waliomchinja’ Issac Kimweri [3,465]
Nani anayekabidhiwa fedha ya Dowans? Saed Kubenea [3,092]
Viongozi wetu mabepari wa Venisi Joster Mwangulumbi [3,084]
Mnamlinda Pinda au mna lenu jambo? Ezekiel Kamwaga [2,754]
Ikulu inapotumika kumfurahisha Rais Jabir Idrissa [2,625]
Pinda ni shokabuzoba ya serikali ya JK Joster Mwangulumbi [2,578]
Mtatiro: Nitarejesha makali ya CUF Ezekiel Kamwaga [2,333]
PROF TIBAIJUKA: Mfupa huu umeshinda wengi Hilal K. Sued [2,057]
CCM mipasuko, CHADEMA mivutano Mwandishi Maalum [2,012]
Katiba mpya siyo kwa hisani Ndimara Tegambwage [2,011]
Omar Mzee ondoa uchafu ujenge uchumi Jabir Idrissa [1,943]
Ocampo wa ICC na mshtuko aliozusha Kenya mashinda [2,037]
Njia ya Simba kutwaa ubingwa hii hapa Joster Mwangulumbi [2,763]
30/12/2010