HABARI MAHUSUSI

Dowans wakubuhu wizi

Na Saed Kubenea 05 Jan 2011

Mitambo ya Dowans

VIGOGO ndani ya serikali wanatuhumiwa kupanga njama za kutaka kuilipa inyemela mabilioni ya shilingi kampuni ya Dowans, kabla taratibu muhimu kuhitimishwa.

 
Mabere Marando
Na Ezekiel Kamwaga 05 Jan 2011

MWANASHERIA mashuhuri nchini na mwasisi wa mageuzi, Mabere Marando amesema, Rais Jakaya Kikwete hana nia njema ya kuleta katiba mpya, bali amejitumbukiza kuteka hoja ya katiba.

 
Askofu Mkuu wa KKKT, Malasusa
Na Mwandishi Wetu 05 Jan 2011

KANISA linatarajiwa kuwa ni kimbilio lililo salama kwa waamini na wananchi wa kawaida wanaopatwa na shida au matatizo ya kimwili au kiroho.

 
RAIS Jakaya Kikwete
Na Ndimara Tegambwage 05 Jan 2011

RAIS Jakaya Kikwete hajasema kuwa anakubaliana na hoja ya kuwa na katiba mpya. Hajasema!

 

SERIKALI ya Rais Jakaya Kikwete imejipambanua sasa kuwa ina ubia au inafadhili miradi ya kifisadi, ukiwemo huu wa kutaka kuichotea kampuni feki ya Dowans Sh. 185 milioni ambazo ni kodi ya wananchi.

Karume ametia aibu Zanzibar Jabir Idrissa [2,919]
Wamiliki wa Dowans wanafahamika Nkwazi Nkuzi [2,807]
Vigogo wachafua Daily News Jabir Idrissa [2,521]
Kichefuchefu cha hukumu 2005-2010 Joster Mwangulumbi [2,223]
Dowans ni chuma ulete wa ikulu? Joster Mwangulumbi [2,124]
Uko wapi udini anaosema Kikwete? John Aloyce [2,099]
Kikwete na Katiba Mpya: Mkokoteni mbele ya Punda M. M. Mwanakijiji [2,089]
Wafugaji wa Loliondo hawana kosa Onesmo Olengurumwa [1,982]
Werema, Kombani mnasimamia lipi? Mbasha Asenga [1,812]
Uongozi shupavu umetoweka nchini Mwandishi Maalum [1,518]
Katili wa vita Liberia ageuka mchungaji [2,752]
Zama za giza zimepita Ezekiel Kamwaga [1,813]
14/01/2011