HABARI MAHUSUSI

Kilichofichwa na polisi hiki

Na Saed Kubenea 19 Jan 2011

Polisi Arusha

JUHUDI za jeshi la polisi za kujikosha baada ya mauaji ya Arusha, zinazidi kugonga mwamba, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Polisi imetumia nguvu iliyopitiliza Arusha
Na Saed Kubenea 19 Jan 2011

MKANDA wa picha unaotumiwa na polisi kuonyesha kile ambacho inadai kilitokea Arusha, hauwezi kulibakizia heshima jeshi hilo.

 
Rais Jakaya Kikwete
Na Mbasha Asenga 19 Jan 2011

Tangu mwaka 1995 Dk. Willibrod Slaa alipochaguliwa katika mazingira magumu ya kisiasa kuwa mbunge wa Karatu, hakuna mtu aliyemwangalia kama Mkatoliki.

 
Mazishi waliouliwa Arusha
Na M. M. Mwanakijiji 19 Jan 2011

KUNA watu wanataka kutupa pendekezo la hatari na wanataka tulikubali bila kuhoji. Pendekezo hilo ni lile linalotaka wananchi wanapofia mikononi mwa serikali basi watu wasiulize maswali na wasiibane serikali kuwajibika.

 
CCM hatarini kushitakiwa [3,030]
Kikwete utachomoka Dowans? Paschally Mayega [2,941]
Kumbe majengo ya Mambo Msiige ‘yameuzwa’ Jabir Idrissa [2,574]
CCM, Chama Cha Makamanda Ezekiel Kamwaga [2,366]
Madhara ya serikali ya kishikaji Joster Mwangulumbi [2,339]
Chuo Kikuu wapanua mjadala Jabir Idrissa [2,196]
Ombwe la busara ni hatari kwa nchi Joster Mwangulumbi [2,068]
Yanga, Simba zakosa ‘minoti’ FIFA [2,098]
23/01/2011