HABARI MAHUSUSI

Slaa, Mwakyembe watishiwa kuuawa

Na Saed Kubenea 09 Mar 2011

Dk. Willibrod Slaa
Membe, Mengi, Mwandosya nao wamo
IJP: Tuna taarifa hizo, tunachunguza
Sheikh Yahaya Hussein naye ahusishwa

KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini, Dk. Willibrod Slaa ametajwa kwenye orodha ya watu wanaotishiwa kuuawa.

 
Edward Lowassa
Na Jabir Idrissa 09 Mar 2011

MBINU za Edward Lowassa kutaka kurejea kileleni katika ulingo wa kisiasa zimemnasa mbunge wa Kilindi (CCM), Beatrice Shelukindo, imefahamika.

 
Rais Kikwete na Rostam Aziz
Na M. M. Mwanakijiji 09 Mar 2011

NIMEPITIA kitabu cha Zaburi nikakutana na maneno: “Kama misingi ikiharibika, mwenye haki atafanya nini?” Hicho ndicho tunachokishuhudi leo nchini. Misingi ya taifa inabomolewa kwa kasi, huku waadilifu, wazalendo, na wanaolitakia mema taifa wanaulizwa, “Mtafanya nini?”

 
Waziri Wassira
Na Ndimara Tegambwage 09 Mar 2011

CHAMA Cha Mapinduzi kimechoka. Kimeshindwa siasa. Kinaomba “vyombo vya dola” kuingilia kati kudhibiti wanaofanya siasa. Hii maana yake ni kwamba kinajisalimisha kwa majeshi. Huu ni mchoko mchafu.

 

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinatapatapa. Hili Mwalimu Nyerere aliliona kabla hajaenda London na kufia huko mwaka 1999.

CCM: Mwisho wa nyakati? Ezekiel Kamwaga [2,962]
Siri ambayo Al adawi ameificha M. M. Mwanakijiji [2,795]
Wananchi wanalia, rais analia Joster Mwangulumbi [2,605]
CCM na kisa cha King Oedipus Joster Mwangulumbi [2,403]
Tuamini RAI wana ubia na vyombo vya usalama? Anthony Kayanda [2,225]
Wahafidhina serikalini pambazuko laja Mbasha Asenga [2,206]
Sumaye kasema kweli: CCM wajibu hoja za kisiasa Saed Kubenea [2,202]
Tatizo ni serikali, si walimu Ezekiel Kamwaga [2,144]
Steven Wassira anatumikia mtandao, si serikali Kondo Tutindaga [2,132]
Hatuna la Masia, soka litoke wapi? Alfred Lucas [1,910]
13/03/2011