HABARI MAHUSUSI

Mabilioni yatengwa kumsafisha Lowassa

Na Saed Kubenea 30 Mar 2011

Edward Lowassa

WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya mkataba tata wa Richmond, Edward Lowassa ameelezwa kuwa na mradi wa karibu Sh. 8 bilioni wa “kujisafisha” na kumwingiza ikulu.

 
Rostam Aziz
Na Jabir Idrissa 30 Mar 2011

SHIRIKA la umeme la taifa (TANESCO) limetupa kete muhimu likilenga kusimamisha ulipaji tozo ya Sh. 94 bilioni kwa mbunge wa Igunga na mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC-CCM), Rostam Aziz kupitia kampuni ya Dowans Holdings SA, MwanaHALISI limeelezwa.

 
WAZIRI mkuu mstaafu, Frederick Sumaye
Na Mwandishi Wetu 30 Mar 2011

WAZIRI mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema hakuna wa kumzuia kugombea urais, iwapo ataamua kufanya hivyo na kwamba rais ajaye aweza kutoka popote katika Jamhuri ya Muungano.

 
Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Mrisho Kikwete
Na Saed Kubenea 30 Mar 2011

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kinakabiliwa na wakati mgumu kutekeleza mpango wake wa “kujivua gamba.” Kama wanavyosema wengine, uvuaji gamba waweza kuchubua hata kipande cha ngozi nyembamba kilichosalia.

 

WAKATI viongozi wa Bunge wanapigania uhusiano imara wa kikazi na vyombo vya habari, wanasema wasingependa migongano baina ya pande hizo mbili.

Raha ya tajiri na suluba za masikini Bulyanhulu Joster Mwangulumbi [3,299]
Waliogundua dhahabu wamebaki mafukara Joster Mwangulumbi [2,685]
Maige anatafuta nini Barrick? Mwandishi Maalum [2,679]
Miaka 20 ya uporaji, mateso Loliondo Paul Leitura [2,530]
Msilale, CCM hawajaanza kugombana leo Ezekiel Kamwaga [2,508]
Sura mbili za matatizo ya walimu Joster Mwangulumbi [2,411]
UV-CCM wanatumwa, wanatumika Mbasha Asenga [2,158]
UV-CCM wamekosa adabu, maadili Kondo Tutindaga [2,153]
Hoteli ya Bwawani, mfano hai wa ufisadi SMZ Jabir Idrissa [2,153]
Darasa la busara la Rais Kikwete Joster Mwangulumbi [2,123]
Afrika Kati wapania kuinyanyasa Stars Joster Mwangulumbi [1,984]
02/04/2011