HABARI MAHUSUSI

Kikwete ‘jino kwa jino’ na Lowassa

Na Saed Kubenea 13 Apr 2011

Edward Lowassa na Rais Jakaya Kikwete

HATUA ya kukivua gamba Chama Cha Mapinduzi (CCM), imegeuka vita vya “jino kwa jino” kwa viongozi kukamiana.

 
Rais Jakaya Kikwete
Na Saed Kubenea 13 Apr 2011

RAIS Jakaya Kikwete ameshindwa kukiokoa chama chake – Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka katika tope la ufisadi. Kile alichoita, “CCM kujivua gamba, kimeishia kuchuna ngozi.”

 
Mabere Marando
Na Mabere Marando 13 Apr 2011

MUSWADA unaitwa Constitutional Review Act, 2011. Hilo neno review limetumika siyo kwa bahati mbaya, ni kwa makusudi. 

 
Vijana waliofurika ukumbi wa Karimjee kujadili Katiba
Na Mwandishi Wetu 13 Apr 2011

ENEO la Karimjee, ukumbi maarufu jijini Dar es Salaam. Nakuta mjadala wa muswada wa sheria ya marejeo/mapitio ya Katiba wa 2011 ndio kwanza umeanza.

 
Ya Tambwe, Makamba na janga la CCM Abel Ndekirwa [2,672]
Dk. Slaa: Kikwete ahadaa wananchi Jabir Idrissa [2,655]
Serikali yasalimu amri Jabir Idrissa [2,261]
Mkulo punguza vipaumbele vya bajeti Sophia Yamola [2,119]
‘Sasa Kikwete atavunja taifa’ Kondo Tutindaga [2,070]
Dhahabu Tulawaka… Yusuf Aboud [2,030]
Tuimarishe ndoa au tupeane talaka Joster Mwangulumbi [2,019]
18/04/2011