HABARI MAHUSUSI

Dk. Slaa amweka pabaya Kikwete

Na Saed Kubenea 20 Apr 2011

Rais Jakaya Kikwete
Amtaja tena katika ufisadi
Avuruga mkakati wa “gamba”

TUHUMA za ufisadi ambazo Dk. Willibrod Slaa amemshushia Rais Jakaya Kikwete, zimezima mbwembwe na majigambo ya “mapambano dhidi ya ufisadi” ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), MwanaHALISI limeelezwa.

 
Rais Kikwete na Edward Lowassa
Na Kondo Tutindaga 20 Apr 2011

RAIS Jakaya Kikwete ameshutumiwa muda mrefu sasa kwa kuonekana anamkingia kifua swahiba wake wa siku nyingi, Edward Lowassa.

 
Edward Lowassa
Na Ezekiel Kamwaga 20 Apr 2011

PAMOJA na tambo za viongozi wakuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutaka kuwafukuza ndani ya chama hicho watuhumiwa wakuu wa ufisadi nchini, Edward Lowassa, Rostam Aziz na Andrew Chenge, bado kimeshindwa kuwapa barua za kuwafukuza.

 
Jaji Frederick Werema
Na Mbasha Asenga 20 Apr 2011

MIONGONI mwa viongozi wa serikali wa awamu ya nne walioteuliwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, ni Waziri wa Sheria na Katiba, Celina Kombani na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema.

 

KIJANA Lillah Hussein (24), amehujumiwa kikatili na hatimaye amefariki dunia. Ni chini ya wiki moja tangu alipotendewa unyama usiomithilika. Alikamatwa, akatishwa, akapigwa na baadaye, kama vile mateso hayo hayakutosha, akateketezwa kwa moto baada ya kuvikwa tairi la gari na kumwagiwa petroli.

CCM wamevua gamba, wameacha sumu Joster Mwangulumbi [2,836]
Uchafuzi Ziwa Viktoria watishia maisha Meddy Mulisa [2,741]
Mauaji ya South Beach yazua utata [2,306]
Katiba Mpya: Tunachotaka sasa Mabere Marando [2,237]
CCM imetikiswa ikatikisika je, itanusurika? Saed Kubenea [2,196]
Wilson Mukama ndio ujio mpya CCM? Ezekiel Kamwaga [2,105]
Watawala hawatatuburuza tena M. M. Mwanakijiji [2,027]
CCM imejivua magamba mawili tu Nyaronyo Mwita Kicheere [2,023]
Waandishi hawa wanahitaji msaada Meddy Mulisa [2,009]
CWT wakomboeni walimu Joster Mwangulumbi [1,946]
Wazanzibari hawadai upendeleo, wanataka haki Jabir Idrissa [1,825]
Vioja katika uchezeshaji soka [2,318]
22/04/2011