HABARI MAHUSUSI

Mkapa kutinga kortini

Na Saed Kubenea 27 Apr 2011

Rais mstaafu  Benjamin Mkapa
Ni katika kesi ya Prof. Mahalu
Ikulu yahaha kumwokoa Kikwete

HATIMAYE rais mstaafu Benjamin William Mkapa atatinga mahakamani mjini Dar es Salaam.

 
Hoteli ya Bahari Beach
Na Ezekiel Kamwaga 27 Apr 2011

WAKATI mataifa ya Magharibi yakitafuta kumning’iniza kitanzini kiongozi wa Libya, Muammar Gaddafi, kiongozi huyo ametajwa kuwa na hoteli nchini Tanzania.

 
Wilson Mukama
Na Mwandishi Wetu 27 Apr 2011

RIPOTI ya “kikosi kazi” kilichoundwa na mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete kutathmini uchaguzi mkuu uliopita, imejaa udanganyifu.

 
Na Joster Mwangulumbi 27 Apr 2011

NGUMI za mitaani hazina sheria, kanuni, uwanja wala klabu za kujifunzia. Pambano linaweza kusababishwa na watu wawili, mara nyingi kwenye muziki au klabu za pombe. Kisa kinaweza kuwa bibi au bwana.

 

KATIKA mkutano uliopita wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Spika Anne Makinda alitoa kauli inayohitaji ufafanuzi kuhusu hatima ya muswada wa serikali wa kuunda Tume ya Kukusanya Maoni ya marejeo ya katiba ya Tanzania.

BAKWATA itakufa CCM ikiondoka madarakani Dk. Hassan Nassir [3,890]
Ujumbe wa walimu kwa CWT Joster Mwangulumbi [2,980]
Amri ya hakimu Kisutu ni hatari Ndimara Tegambwage [2,977]
Benson: CCM incheza ngoma ya CHADEMA Alfred Lucas [2,863]
Mtandao wa Kikwete ndiyo gamba CCM Saed Kubenea [2,715]
Kama hatutaki kashfa, tujiandae Ezekiel Kamwaga [2,377]
Ukatili, manyanyaso hospitali ya Kahama Ali Lityawi [2,365]
Msekwa, Mukama barua za mafisadi haziandikiki? Mbasha Asenga [2,356]
Nani kajiuzulu CCM? M. M. Mwanakijiji [2,177]
Haiwezekani kutisha wananchi, ni kuwasikiliza tu Jabir Idrissa [1,980]
Muswada wenye magamba dhidi ya usio na magamba Nyaronyo Kicheere [1,781]
Kanuni za FIFA zinaipa haki African Lyon Joster Mwangulumbi [2,024]
30/04/2011