HABARI MAHUSUSI

Mafisadi ‘kaa la moto’

Na Saed Kubenea 11 May 2011

Rais Jakaya Kikwete

RAIS Jakaya Kikwete ameonyesha kutokuwa na uwezo wa kufukuza wenzake ambao wametuhumiwa ufisadi kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), MwanaHALISI limeelezwa.

 
Maandamano ya CHADEMA Mwanza
Na M. M. Mwanakijiji 11 May 2011

NIMEFUATILIA kwa muda maandamano yanayofanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) toka mwanzo wake na nimejaribu kutumia muda kuyaelewa. Mwanzoni niliyaona kama maandamano ya watu ambao bado wana machungu ya matokeo ya uchaguzi mkuu wa 30 Oktoba 2010.

 
DPP Feleshi akiapishwa alipoajiriwa
Na Ndimara Tegambwage 11 May 2011

UKITAKA kujua jinsi mwenye madaraka anavyoweza kupoteza heshima na hata kazi yake, msikilize Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), Eliezer Feleshi.

 
Rais Yoweri Museveni
Na Ezekiel Kamwaga 11 May 2011

MATUKIO yanayoendelea kuikumba Uganda kwa muda sasa, yanatia simanzi. Wananchi wasio na hatia wanauawa, viongozi wa upinzani wanapigwa na kudhalilishwa. Kisa?

 

RAIS Jakaya Kikwete juzi Jumatatu alizindua semina elekezi iliyoshirikisha mawaziri, naibu mawaziri, makatibu wakuu na manaibu wao, viongozi wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kupata maelekezo juu ya utendaji kazi serikalini.

Nyumba ya Kikwete yazua utata Ezekiel Kamwaga [6,234]
Tango: TRA wamenihujumu Jabir Idrissa [2,640]
TRA yasutwa Jabir Idrissa [2,509]
Majeraha ya uchaguzi hadi lini? Mwandishi Maalum [2,338]
Awamu nne, vioja vinne Nyaronyo Kicheere [2,270]
Machinga Complex limejaa kasoro Adam Maleta [2,156]
Kwa sifa hizi hakuna waziri atakayesalimika Mbasha Asenga [2,024]
Mukama anasahihisha na kupakazia Joster Mwangulumbi [1,993]
Ni kweli Dk. Shein anataka serikali isihojiwe? [1,818]
Samatta kutajirisha Kimbangulile Alfred Lucas [1,958]
15/05/2011