HABARI MAHUSUSI

Kikwete ndani ya CCJ

Na Saed Kubenea 18 May 2011

Mpendazoe, mwasisi mmojawapo wa CCJ

NYOTA ya spika wa zamani wa Bunge la Jamhuri, Samwel Sitta imezimwa, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Ridhiwani Kikwete
Na Mbasha Asenga 18 May 2011

DINI zote duniani hufundisha watu kutenda mema. Kwa mfano, hukataza kusema uongo, na wazazi wakati wote huwa na wajibu wa kuhakikisha wanawarithisha watoto wao maadili mema. Ni kwa kufanya hivyo tu jamii hukuza maadili mema na kuchukia uovu.

 
Nape Nnauye
Na Saed Kubenea 18 May 2011

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye sasa amebeba “gunia la kokoto” na hajui mahali pa kulitua.

 
Semina elekezi kwa viongozi wa Serikali
Na Joster Mwangulumbi 18 May 2011

ILI kupata wanafunzi bora katika ngazi zote za elimu ni lazima wawepo walimu bora na waadilifu. Hata katika semina, mwezeshaji lazima awe mjuzi na mwadilifu ili kuwajengea imani wanasemina au hadhira.

 

SERIKALI ya Tanzania imesimangwa huku ikipatiwa msaada wa zaidi ya Sh. 840 bilioni kwa ajili ya ugharamiaji bajeti yake ya mwaka wa fedha wa 2011/2012 unaoanza Julai mosi, mwaka huu.

20/05/2011