HABARI MAHUSUSI

‘Sitta, Mwakyembe watoswe’

Na Saed Kubenea 25 May 2011

Dk. Harrison Mwakyembe
Ni kwa ‘usaliti mkuu’ ndani ya CCM
Lowassa, Rostam, Chenge nao wafukuzwe

TUHUMA za kukisaliti chama zinazowakabili spika wa zamani wa Bunge, Samwel Sitta na mbunge wa Kyela, Dk. Harrison Mwakyembe, zaweza kuwafukuzisha kwenye Chama Cha Mapinduzi (CCM), MwanaHALISI limeelezwa.

 
Maaskofu KKKT
Na Alfred Lucas 25 May 2011

KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Iringa, limetumbukia katika mgogoro mzito na wa aina yake ambao, iwapo busara haitatumika utaweza kuliacha kanisa limekatika vipande viwili, imefahamika.

 
Daniel ole Porokwa
Na editor 30 May 2011

Kwa muda wa takribani wiki mbili sasa, vyombo vya habari vimeripoti maelezo yaliyotolewa na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa CHADEMA, Mh. Anthony Komu, kwamba Nape Nnauye alikuwa mwasisi wa Chama Cha Jamii (CCJ).

 
Rajabu Maranda akielekea gerezani
Na Mbasha Asenga 25 May 2011

 WIKI hii mavuno ya kwanza ya haki kwa wezi wa fedha za Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) Katika Benki Kuu (BoT) yameanza kujitokeza. Lakini hisia za watu zimeonyesha wengi kutokufurahishwa na kiwango cha adhabu.

 

KWANINI mauaji ya ovyo ya raia wema yanaendelea nchini huku wahusika wakifanikiwa kutoroka mkono wa sheria.

Kigamboni imekufa kabla ya kuanza Nyaronyo Kicheere [3,000]
Umebaki mnara tu Ndimara Tegambwage [2,851]
Makamba kapata wapi uwezo kunyamazisha wananchi? Saed Kubenea [2,792]
Ayi, ayi, ayi, CCM Joster Mwangulumbi [2,294]
Symbion isijiingize kwenye tope la Dowans M. M. Mwanakijiji [2,281]
Kikwete tumaini lililopotea Juvenal Kingazi [2,185]
Uchumi Kagera waweza kufufuliwa Meddy Mulisa [2,166]
CCM imeasisi, inafurahia matatizo North Mara Joster Mwangulumbi [2,131]
Walioanzisha CCJ wafukuzwe uongozi Kondo Tutindaga [1,856]
Moto Pwanimchangani ni matokeo Jabir Idrissa [1,782]
Nyota ya Kaseja kung’ara tena Misri? Joster Mwangulumbi [2,728]
30/05/2011