HABARI MAHUSUSI

Lowassa amkatia rufaa Kikwete

Na Alfred Lucas 15 Jun 2011

Edward Lowassa
Atinga kwa Nabii Joshua kuombewa
Waziri Membe ateta na Rostam Aziz

EDWARD Lowassa, mwanasiasa anayetajwa “kujipanga kugombea urais mwaka 2015,” ametinga nchini Nigeria kufanya maombi, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Mohamed Dewji, Mkurugenzi mtendaji wa MeTL
Na Jabir Idrissa 15 Jun 2011

UBALOZI  wa Libya jijini Dar es Salaam umekana mahusiano yoyote na kampuni ya Mohammed Enterprises (MeTL) na mshirika wao Massoud Mohamed Nassr.

 
Na Saed Kubenea 15 Jun 2011

SERIKALI ya Rais Jakaya Kikwete iliridhia mapendekezo ya Bunge ya kuvunja mkataba wa kufua umeme kati yake na kampuni ya Dowans Holdings SA.

 
Rais Jakaya Kikwete
Na Mwandishi Maalum 15 Jun 2011

HOJA ya Rais Jakaya Kikwete kusaini Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011-2016) kabla bunge kuujadili, imeibua shutuma kwa ofisi kuu nchini.

 
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Idd Azzan
Na Alfred Lucas 15 Jun 2011

SIASA za kukamiana, kuchafuana na kuzibiana nafasi za uongozi zinazidi kuota mizizi katika Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Idd Azzan yuko kikaangoni.

 

MPANGO wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano unaofungua fursa mbalimbali kwa wananchi kujiletea maendeleo kwa kutumia raslimali zilizopo nchini umewasilishwa bungeni juzi.

Kikwete ageuka zigo CCM Nyaronyo Kicheere [2,909]
Dhambi ya ubaguzi yamtafuna Kikwete Joster Mwangulumbi [2,511]
PPF yanufaisha SACCOS kwa mikopo Mwandishi Maalum [2,281]
Rais wangu, mengine unajitakia Paschally Mayega [2,189]
CCM ni kuchinjana wakose wote Mbasha Asenga [2,186]
Shirikisho la madikteta Afrika Mashariki Joster Mwangulumbi [2,152]
JK na ‘wahalifu’ wenye majoho Kondo Tutindaga [2,146]
Nyerere atakumbukwa, wengine watapuuzwa! M. M. Mwanakijiji [1,991]
Bajeti mpya au chakula cha mafisadi? Jabir Idrissa [1,949]
Serikali ina kasumba na makocha wa kigeni Joster Mwangulumbi [1,842]
25/06/2011