HABARI MAHUSUSI

Kikwete hajamjibu Lowassa

Na Saed Kubenea 06 Jul 2011

Rais Jakaya Kikwete

RAIS Jakaya Kikwete, ama ameshindwa au amekataa kujibu tuhuma za swahiba wake, kwamba serikali yake inaumwa ugonjwa wa kutofanya maamuzi magumu, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Mbunge wa Arusha, Godbless Lema
Na Paschally Mayega 06 Jul 2011

RANGI ya njano imetumika mahali pengi kama alama ya tahadhari. Wanaoendesha vyombo vya moto kama vile magari na pikipiki wanajua kwamba taa ya njano ikiwaka inamtahadharisha dereva kujiandaa kuchukua uamuzi; kusimama au kuendelea kuendesha.

 
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
Na Kondo Tutindaga 06 Jul 2011

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amelidanganya tena Bunge. Amedai serikali ya awamu ya nne imefanya maamuzi mengi magumu kuliko serikali nyingine yoyote iliyotangulia. Hii ni kejeri ya aina yake na ninaamini rais mstaafu Benjamin Mkapa alipomsikia Pinda akitoa kauli hiyo alishikwa na bumbuwazi.

 
Waziri wa Fedha,  Mustafa Mkullo
Na Jacob Daffi 06 Jul 2011

WAFADHILI wa serikali wameonyesha kuwa hawatatoa fedha kwenye bajeti ya taifa hadi watakapokuwa wamepata maelezo ya kina kuhusu mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi nchini.

 

KAMA hakuna kauli moja ya ufumbuzi wa tatizo la upungufu wa umeme nchini, kwanini tusiamini kuwa serikali imeshindwa uwajibikaji?

Mjadala wa uraia wa Kabila washika kasi [7,433]
Posho ni mradi wa wakubwa? Dk. Juma Sued [4,961]
Mwisho wa maswahiba CCM Joster Mwangulumbi [2,877]
CCM karibu ife: Vijana wafuate nini huko? Mabere Marando [2,798]
Watumishi wanaugua posho, uvivu Mbasha Asenga [2,593]
Pinda anatutuliza huku anatuumiza? M. M. Mwanakijiji [2,456]
Upinzani wapata mtaji mwingine Joster Mwangulumbi [2,451]
Udini sasa umewatawala wananchi Nyaronyo Kicheere [2,435]
Serikali yaumbuka [2,415]
Mafuta yanavyohangaisha utawala Z’bar Jabir Idrissa [2,117]
Iwapi tija ya madini kwa umma Sophia Yamola [2,103]
NATO wameshindwa kumng’oa Gaddafi? [2,223]
Amani tunayo, soka mbovu Joster Mwangulumbi [2,028]
07/07/2011