HABARI MAHUSUSI

JK amuangukia Rostam

Na Saed Kubenea 27 Jul 2011

Rais Kikwete na Rostam Aziz

RAIS Jakaya Kikwete sasa anapanga kumuangukia aliyekuwa Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Mchungaji Peter  Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini
Na Mwandishi Wetu 27 Jul 2011

HANA makeke. Ni mpole, lakini mwenye msimamo thabiti wa kutetea anachokiamini. Si mwingine, bali Mchungaji Peter Msigwa, Mbunge wa Bunge la Muungano katika jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

 
Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja
Na Joster Mwangulumbi 27 Jul 2011

MWAKA 1971 nilikuwemo kwenye kikundi cha kwaya cha shule ya msingi ya Ihahi, wilayani Mbarali iliyoandaliwa maalum kwa ajili ya sherehe za nchi kutimiza miaka 10 ya uhuru.

 
Vurugu Malawi
Na Zakaria Malangalila 27 Jul 2011

KWA kuangalia historia ya Malawi, ni vigumu kufikiria kwamba ghafla nchi hiyo ingeweza kukumbwa na vurugu kubwa za kisiasa hata kusababisha vifo.

 

RAIS Jakaya Kikwete anasema chimbuko kuu la uhaba wa umeme nchini ni ukame. Mabwawa ya maji yanayotumika kuzalisha umeme yanakauka kutokana na ukosefu wa mvua hivyo kupunguza kiwango cha uzalishaji umeme kwa njia hiyo.

29/07/2011