HABARI MAHUSUSI

Kikwete kigeugeu

Na Saed Kubenea 03 Aug 2011

Rais Jakaya Kikwete
Anauma na kupuliza
‘Auchuna’ kuhusu ufisadi

RAIS Jakaya Kikwete sasa ana sura mbili. Akiwa serikalini anauma. Akiwa kwenye chama chake anapuliza.

 
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
Na Mwandishi Wetu 03 Aug 2011

OFISI ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda imetumia zaidi ya Sh. 174.5 milioni kwa kile ambacho kimeelezwa kuwa “mchakato wa kufanikisha bajeti yake,” MwanaHALISI limeelezwa.

 
JAJI Frederick Werema
Na Ndimara Tegambwage 03 Aug 2011

JAJI Frederick Werema, yule mwanasheria mkuu wa serikali amesema bungeni kuwa kuna “wasiopenda maandamano.”

 
Meya wa jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi
Na Alfred Lucas 03 Aug 2011

KUNA kila dalili za kukwama kwa bajeti ya Wizara ya Uchukuzi, kama ilivyotokea kwa Nishati na Madini, imefahamika.

 

JUNI 8 mwaka huu, serikali iliwasilisha bungeni bajeti yake iliyokuwa inaainisha makadirio ya makusanyo ya mapato na matumizi kwa mwaka 2011/ 2012.

Kumbe Bunge ni la mashemeji! Joster Mwangulumbi [4,411]
Bunge si kusanyiko la wakwe M. M. Mwanakijiji [2,270]
JK: usiwageuze Nape na Mukama gamba Kondo Tutindaga [2,174]
Kafulila: Nitaipaisha Kigoma Kusini Alfred Lucas [2,140]
Wazazi watetea mimba, utoro wa watoto Joster Mwangulumbi [2,135]
Mbona ukwanza haupo Kilimo Kwanza? Paschally Mayega [2,081]
Wabunge wapimwe akili, tuanze meza kuu Nyaronyo Kicheere [2,022]
Upole wa Nahodha wayeyusha makali [1,930]
Sababu tosha kutenganisha urais na uenyekiti wa chama Mbasha Asenga [1,929]
Julai 31 inakumbukwa Zanzibar Jabir Idrissa [1,799]
Robert Mugabe: Uvumilivu umemshinda Zakaria Malangalila [2,232]
Serikali ya Ugiriki mahututi [1,564]
Taifa Stars isijengewe Inferiority Complex Joster Mwangulumbi [1,740]
08/08/2011